Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Hahahahahah kumbe nilishaambia zaid ya mara nyingi lakini wapi kweli tunakela sana lakini tuzoee tu, si unajua mtafutaji achoki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunavumilia tu
 
Ila kiukweli wanawake hamjambo kufukua makaburi....... dawa ni kutokumkwaza siku akitemwa alikokuwa atakushtua tu kupunguza machungu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yamemkuta shoga angu....muha anajiunga cheka zogo kwa ajili ya kupiga story za kigoma na vitongoji vyake.Shost akipokea simu anaongea kidogo afu anaanza kuzungusha mkono alioshika simu(nadhani unajua ile style ya kuzungusha mkono kama unataka kurusha jiwe,yes!)basi akizungusha vile mpigaji simu lazima usikie kama upepo,af ye anaongea uku bado anazungusha mkono kwamba "niko kwenye boda boda ntakupigiaaaaa" anakata kisha anamaliza na tusi zito lenye vitamini
Mh
 
Back
Top Bottom