Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.

Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.

Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.

Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.

Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.

Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.

Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.


Mrs Jr.
mpaka madem wabovu wanaringa.kweli wanaume wanahuruma.
 
Aiseeee leo kila nikichungulia huku nakukuta hakiii unanipa mkanganyiko
Hahaha leo nimepata nafasi murua kabisa yakujiachia humu,,japo kuna sehemu net inagoma,nilikua safarini frm chuga to dar
 
Hahaha leo nimepata nafasi murua kabisa yakujiachia humu,,japo kuna sehemu net inagoma,nilikua safarini frm chuga to dar
Naona unarud kwa baby wakooo loooh sawa bhn naona ameshaandaaaa kitandaa leo kwinyooo kwinyooo tu
 
Back
Top Bottom