Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhhuuu msg za kutosha yan akiingia bafun anakwambia kila kitu uwiiii hawajui kwamba hatuko uko ata.[emoji25]Anakeraje anapiga simu kwa siku hata Mara 100
Mimi huwa nakunja mdomoo nazungusha karibia unafika sikioni huwa napata motooo yan nafyonzaaa balaaa lait wangekuwa wanaonaa eeeh tungechezea vichapohhhuuu msg za kutosha yan akiingia bafun anakwambia kila kitu uwiiii hawajui kwamba hatuko uko ata.[emoji25]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani uzuri wa deni ulilipe kwa purukushani...
Umenena kilichopo rafiki,viatu ni my number three kwenye moyo wangu.No 1 ikiwa imeshikiliwa na bimkubwa,huku namba 2 akikamatia mzee mzima pale winga matata wa The blues,mr Hazard mwenyewe barafu wa moyo.Na namba tatu kwenye moyo wangu vinakaa viatu vizuriRafiki unapenda viatu weyeeeee
Asifiaye mvua.......Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
Pesa haijawahi kumkera mtu labda Yuda Iskariot tu.Je muamala wa Mpesa wa mtu usiyempenda?
Sms ya 200K imethibitishwa zinakukera pia?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mimi napenda macho yang kuliko chochoteUmenena kilichopo rafiki,viatu ni my number three kwenye moyo wangu.No 1 ikiwa imeshikiliwa na bimkubwa,huku namba 2 akikamatia mzee mzima pale winga matata wa The blues,mr Hazard mwenyewe barafu wa moyo.Na namba tatu kwenye moyo wangu vinakaa viatu vizuri
Yaah, ukimpata mnyonge unamyoosha tu.Haya mambo ni kwamba kila mtu na mnyongeee wake ndugu
[emoji173] [emoji173] asante sana bby...Umenena kilichopo rafiki,viatu ni my number three kwenye moyo wangu.No 1 ikiwa imeshikiliwa na bimkubwa,huku namba 2 akikamatia mzee mzima pale winga matata wa The blues,mr Hazard mwenyewe barafu wa moyo.Na namba tatu kwenye moyo wangu vinakaa viatu vizuri
Pichaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mimi napenda macho yang kuliko chochote
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu