Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

kuna mwanaume nlimpendaga jaman ila akawa ananiona me fala sku nkabid nijikatae mwnywe ila mpka saiv anapiga sim kam vile anaulizia mafao yake ..khheee
Anakeraje anapiga simu kwa siku hata Mara 100
 
hhhuuu msg za kutosha yan akiingia bafun anakwambia kila kitu uwiiii hawajui kwamba hatuko uko ata.[emoji25]
Mimi huwa nakunja mdomoo nazungusha karibia unafika sikioni huwa napata motooo yan nafyonzaaa balaaa lait wangekuwa wanaonaa eeeh tungechezea vichapo
 
Rafiki unapenda viatu weyeeeee
Umenena kilichopo rafiki,viatu ni my number three kwenye moyo wangu.No 1 ikiwa imeshikiliwa na bimkubwa,huku namba 2 akikamatia mzee mzima pale winga matata wa The blues,mr Hazard mwenyewe barafu wa moyo.Na namba tatu kwenye moyo wangu vinakaa viatu vizuri
 
Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
Asifiaye mvua.......
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mimi napenda macho yang kuliko chochote
 
[emoji173] [emoji173] asante sana bby...
 
Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…