Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Vaisi vesa izi truUnaempenda hakupend
Usiyempenda ndo anakupenda
Mambo n vais vesa tu
Mi na jezi nilivaa natamani kutembea na bra leoLeo wana chura hawapokei simu wanasonyaaaa tu
Huyo jamaa Namjua Sana anapenda uzush tuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]looh
Yani ndo tatizo unamwambia mm mke wa mtu anaendelea kukupigia na shida inakuwa palee humpendi ndo maaana unapata hasiraa sanaSio vizuri,tatizo ni kwamba mtu huyu anakuwa ameshaambiwa hapendwi lakini anakazana kweli kweli,na huwezi ichunia simu huku waiona mkuu
[emoji23] [emoji23] umewahi kupokea simu ukaifunikizia kwenye masweta mawili afu ukawa unaongea kwa sauti kwamba "sikusiiiiiikiiiiiiiiiii" unakata afu unatuma msg,"simu mbovu haisikiki"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mimi huwa nawasha redio naweka sehemu ambayo haishiki vizur ili asikie makelel au naanza kukwaruza vyombo mbengele mbengeleee sipendi kero
Umeona swali lake lilivyo kimtego?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
PichaMi na jezi nilivaa natamani kutembea na bra leo
Mabakamabaka ameamka ucngiznVaisi vesa izi tru
blacklistNdo maana nakuaga busy tu muda wote. Sitaki kuongea wala kuchatishana. Watu usowapenda wanakuaga ving'ang'anizi hao na kujipa nafasi wasokua nazo
Na usipopokea anazid kupiga kama ugomvi mfano mtu amekuomba hela ukamwambia nitakutumia saa 5 mweeeeeh utakoma na hizo simuSometimes watu wanaweza kuona kama unaringa au unadharau,mtu mwingine anakupigia simu then anachoongea sasa,hakuna cha maana,Sometimes naonaga bora kutopokea tu
Nyie watu wa Dar mnaraha sana wallah...[emoji12] [emoji12]Huyo kaniweka kwenye chupaaaaa sifurukuti
Style ya kitoto Sana hii, vp unampango wa Kuzaa kwanza?[emoji23] [emoji23] umewahi kupokea simu ukaifunikizia kwenye masweta mawili afu ukawa unaongea kwa sauti kwamba "sikusiiiiiikiiiiiiiiiii" unakata afu unatuma msg,"simu mbovu haisikiki"
Nina ukauzu mimi. Wala sikublacklist ila shughuli utaipatablacklist
Unazani anapiga story za kasulu peke yake?Kigoma nzima anamaliza,na kesho yake ananza tena hizo hizoLake Tanganyika haipo Kasulu, hiyo ni Kigoma mjini, anzia mitaa ya Kibirizi