Na wakatihuo anamalizia kwa stori za mawese anavyo letaga Dar "kariakoo"....[emoji13] [emoji13]Unazani anapiga story za kasulu peke yake?Kigoma nzima anamaliza,na kesho yake ananza tena hizo hizo
Nmemuomba nizae nae amenikataa Ebu mshaur huyo mwenzako banaWozaaaaaaaah
Kusema kweli mimi wengi wanaona ninadharau,huwa sipokei simu ambazo najua fika ni usumbufu tu.Na usipopokea anazid kupiga kama ugomvi mfano mtu amekuomba hela ukamwambia nitakutumia saa 5 mweeeeeh utakoma na hizo simu
Na wana viherehere,unakuta we ndo unaetamba kwenye wasap status zake[emoji23] [emoji23] hata wenye mali hawafanyi ivyo aiseeNdo maana nakuaga busy tu muda wote. Sitaki kuongea wala kuchatishana. Watu usowapenda wanakuaga ving'ang'anizi hao na kujipa nafasi wasokua nazo
[emoji12] [emoji12][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]uchochezi huooo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]siku hizi wasukuma wanatumia halotel mama utakoma anaongea huyoo mpaka unataman kumzaba vibaoooAnakwambia "mimi nakupenda lolo,moyo wangu umekudondokea(hapa kwenye kudondokea unakandamiza[emoji23])
Wanyakyusa wana tabia ya kususa susa(wake kwa waume)[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]usiombe awe mnyakusaa mweee utakoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi na jezi nilivaa natamani kutembea na bra leo
Tatizo nyie wadada wa Dar, mnatudharau sana sie wanaume wa mikoani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hawatumi wana jaza njaaa mbeleee alafu anaendelea kukupigisha story mm huwa nakata simj tu sipendi blah blah blah yawezekana nina jeurii tu
Bby nsikuulize?Umeona swali lake lilivyo kimtego?
Be free babe...uliza tu,ila nilifikiri pale ulinitegaBby nsikuulize?
Hazard kacover nafasi yake.Katimiza usemi waMabakamabaka ameamka ucngizn
Swali nafikishiWozaaaaaaaah
HahahahaJe muamala wa Mpesa wa mtu usiyempenda?
Sms ya 200K imethibitishwa zinakukera pia?