Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

[emoji3][emoji3][emoji3]mwenzio nipo Mirembe leo nachekaje rafiki
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kunani tena Rafiki umekutana na yule jamaa anaecheka muda wote au yule anae Rap kila saa nini ?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kunani tena Rafiki umekutana na yule jamaa anaecheka muda wote au yule anae Rap kila saa nini ?
Huyo mweupe anajua kuimbaaa balaaaa ndo anayerap
Kuna mwingine anasali tu
Mwingine analia mwingine ananiomba 500 mpaka nitoke huku mbavu naacha mirembe
 
Huyo mweupe anajua kuimbaaa balaaaa ndo anayerap
Kuna mwingine anasali tu
Mwingine analia mwingine ananiomba 500 mpaka nitoke huku mbavu naacha mirembe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nakufwaz in Le_Kibamiaz voice aahaah noma sana kaa vizuri kuna mwingine hapo kazi yake ni kung fu tangu mornie mpaka night.
 
Tupangeee siku tuende kuwatembeleaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndo maana nakuaga busy tu muda wote. Sitaki kuongea wala kuchatishana. Watu usowapenda wanakuaga ving'ang'anizi hao na kujipa nafasi wasokua nazo
Na wewe unakuwaga king'ang'anizi kwa watu ambapo hawakukubali
 
Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.

Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.

Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.

Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.

Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.

Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.

Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.

Mrs Jr.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Demis unanifurahishaga sana kwamba unapokea simu umekunja sura
 
Ila kuna mdada akinipigiaga huwa nakereka sana make sikapendi nimejaribu kublock namba yake lkn bado kanatumia zingine tena. Demis umeongea point kama mtu humpendi anakera sana....

Taarifa zikufikie wewe Dada kama uko humu jf usiendelee kunisumbua,tena unikome kabisa
 
hakuna kitu kinakera kama mwanaume anakuambia anakupenda halaf wala halikutumii pesa my friend unajisumbua tu mwanaume unatakiwa ushawishi
MWANAMKE HUTAKIWI KUTUMIWA PESA , UNATAKIWA UIFATE, UFIKE KWAKE UFUEFUE KIDOGO UPIGE DEKI, UNYOSHE NGUO ZA IKI NZIMA, UPIGWE DYUDYU THEN MWANAUME ANAKUPA HELA
 
Back
Top Bottom