Bandugu, naomba kuuliza:
Suppose unaitwa X, na jina kamili la baba yako ni YZ. Kuanzia shule ya msingi, O-Level, A-Level na mpaka chuo umetumia majina mawili tu (XY) na ndiyo yanayoonekana kwenye vyeti VYOTE.
Sasa je, inawezekana kuongeza jina la tatu (Z) kama Surname wakati wa kufanya postgraduate ili cheti chako cha postgraduate degree kisomeke kama XYZ? chuo (UDSM) wanakubali hii kitu? na njia gani mtu apitie kufanikisha hili?