Kuongeza Jina la Tatu ili lionekane kwenye Cheti

Kuongeza Jina la Tatu ili lionekane kwenye Cheti

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Posts
11,503
Reaction score
20,892
Bandugu, naomba kuuliza:

Suppose unaitwa X, na jina kamili la baba yako ni YZ. Kuanzia shule ya msingi, O-Level, A-Level na mpaka chuo umetumia majina mawili tu (XY) na ndiyo yanayoonekana kwenye vyeti VYOTE.

Sasa je, inawezekana kuongeza jina la tatu (Z) kama Surname wakati wa kufanya postgraduate ili cheti chako cha postgraduate degree kisomeke kama XYZ? chuo (UDSM) wanakubali hii kitu? na njia gani mtu apitie kufanikisha hili?
 
Nadhani inawezekana, tena mfano mzuri ni naibu waziri wa elimu yeye kaongeza mawili. Kutoka HAMIMU mpaka PHILIPO MULUGO.Hebu mtafute kwa ushauri.
 
mtafute mwanasheria yeyote, au ni pm ili nikuelekeze kwa mwanasheria utafanikiwa. unatakiwa kuapa kuwa jina hilo nalo ni la kwako. kuna waapishaji lakini, wanasheria. SHERIA KWA KISWAHILI
 
Back
Top Bottom