Kuongeza mbegu za kiume na speed ya mbegu hizi

Babu yangu alikua anapiga mtungi tangu hajawazaa watoto wake na hadi anafariki alikua bado anapiga, yaan alikua anatengeneza wine mwenyewe na alikua na nguvu hadi uzeeni
Hahahahahah....sasa hawa sijui story zao wanatoa wap?
 
Semen ndo shahawa sasa zinazobeba mbegu ndani yke. Sasa uzito, wepesi wa semen ndo zitadetermine speed na maturity or imaturty ya mbegu ktk kutungisha mimba
Kuchungulia nyuzi mbalimbali kunasaidia sana, ona nimejua misamiati ya semen na sperm, na ya shahawa na mbegu, siyo mimi peke yangu niliyekuwa siyajui haya maneno, wako wengi tu.
Kumbe mbegu iko ndani ya shahawa!, kwa maana hiyo shahawa ni kubwa halafu mbegu ni ndogo.
Nimegoogle nimekuta ili sperm speed/motility iwe na nguvu, zinatakiwa ziwe 40% na kuendelea, yaani ziwe 20 million na kuendelea. Na ili sperm iwe na uwezo wa kumpa mimba mwanamke, zinatakiwa ziwe 2-5 million per litre na kuendelea.
Thank you GOD,
Thank you JF,
Thank you JF members,
Thank you Google.
 
Pamoja sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…