Kuchungulia nyuzi mbalimbali kunasaidia sana, ona nimejua misamiati ya semen na sperm, na ya shahawa na mbegu, siyo mimi peke yangu niliyekuwa siyajui haya maneno, wako wengi tu.
Kumbe mbegu iko ndani ya shahawa!, kwa maana hiyo shahawa ni kubwa halafu mbegu ni ndogo.
Nimegoogle nimekuta ili sperm speed/motility iwe na nguvu, zinatakiwa ziwe 40% na kuendelea, yaani ziwe 20 million na kuendelea. Na ili sperm iwe na uwezo wa kumpa mimba mwanamke, zinatakiwa ziwe 2-5 million per litre na kuendelea.
Thank you GOD,
Thank you JF,
Thank you JF members,
Thank you Google.