Ndugu wanajamii naomba mwenye kufahamu taasisi ya fedha, bank au mtu binafsi inayokopesha taasisi ndogo za Microcredit kwa ajili ya kukuza portfolio ya kampuni wakuu. Mtaji wangu ni mdogo tangu nianze nina miezi mitatu bank walinishauri nizungushe biashara at least miezi sita nyingine mwaka.
Natumaini hapa nitapata jibu lawsuluhisho la shida yangu,dhamana ipo kama endapo itahitaji.
Hata kwa mtu binafsi nipo tayari kuchukua ili mradi riba iwe rafiki.
Ahsanteni sana.
Natumaini hapa nitapata jibu lawsuluhisho la shida yangu,dhamana ipo kama endapo itahitaji.
Hata kwa mtu binafsi nipo tayari kuchukua ili mradi riba iwe rafiki.
Ahsanteni sana.