Kuongeza Mwili: Muongozo wa Mazoezi na lishe (Gym workout & Diet)

Ahaaaa Shukran Madhara yake Ni Kama yapi
 
Mkuu, bado unapiga chuma?
 
Nafikiri kuandika uzi kuhusu aina za wafanya mazoezi GYM.
 
Weng wamepigwa shambuliz la moyo na ukifuatilia watunisha misuli weng sana wamejufa kwa case hiyo.
Kunayule dogo alikuwa na miaka 18 alikata moto jukwaani.

Utengenezaji wa mwiki hasa huu wa kimashindano huwa n hatari sana maana hufanya moyo kutanuka ambako kunaweza pelekea shambulio la moyo hasa wakati akiwa kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…