Kuongeza size ya machine

Kuongeza size ya machine

mbaraka.m

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
209
Reaction score
37
Natafuta dawa ya kuongeza size ya machine kwani size ni ndogo kutokana na nyeto.Any help plz!!!!!!thanx in advance
 
Mkuu usifadhaike kwa size ya dushelele lako, hayo ni maumbile tu cha muhimu ni jinsi unavyotumia hilo dushelele kumfikisha mwenzio kileleni. Wengi wanafikiria unapokuwa na jembe kubwa ndio unaweza kumridhisha partner wako lakini jembe kubwa linahitaji damu nyingi zaidi kuweza kumaintain erection wakati jembe dogo laweza kumaintain erection kwa muda mrefu bila kuoverwork moyo.
 
Haijalishi una mashine kubwa au ndogo cha msingi ni matumizi. Mwandae partner wako vya kutosha kabla ya kazi yenyewe ili umfikishe kileleni vilivyo. Intensive love play matters a lot!
 
Tafuta miti flani inaitwa mikongoraaa, nenda kwa wa masai ipo kibao sana, very soon dushelele litakuwa kama la punda, kazi kwako mdau
 
Natafuta dawa ya kuongeza size ya machine kwani size ni ndogo kutokana na nyeto.Any help plz!!!!!!thanx in advance

using'ang'anie size my brother, cha muhimu jua matumizi tu, wapo wenye mihogo lakini kuitumia hawajui lakini wapo ambao wana size zao ndogondogo lakini wanajitahidi kuzitumia.
Ushauri wangu kwako, ondoa hiyo dhana iliyopo kichwani kuwa, hiyo size haimridhishi mpenzi wako, jijengee ujasiri na kujiamini, mnapokua viwanja, jitahidi kuconcentrate kwenye shughuli na ujitume kwelikweli, kama mpenzio anaridhika hamna shida ya kutafuta madawa mshukuru Mungu wewe wenzio hata hazisimami.
Naomba kama unaweza uache kabisa hizo habari za nyeto maana zitakufanya ushindwe kumridhisha mpenzio, punguza kuangalia porn kama unafanya hivyo, na epuka kuwa peke yako muda mwingi, ni kheri umfuate mpenzio alipo au yeye aje kuliko kumasterbate.Natamani siku moja utuambie huku kuwa umeacha!!
Otherwise, nakutakia kila la kheri, jiamini bwana, mfurahishane.
 
size doesn't matter,acha kudanganywa na porno clips na d**ks zao za kuchonga
 
Natafuta dawa ya kuongeza size ya machine kwani size ni ndogo kutokana na nyeto.Any help plz!!!!!!thanx in advance

Mkuu ridhika na kibamia chako ukiongeza kitashindwa kuhimili mikiki mikiki
 
lala chali kitandani funga kamba dudu lako ning'iniza darini
 
Jamani wanaojua dawa au njia ya kuongeza size wa mwambie kwani yeye ameomba huo msaada hajaomba msaasa wa kumfikisha mpenzi wake
 
ndo maana anashauriwa kuwa, kama shida ni kumridhisha mpenzi wake aachane na madawa hayo afanye kama anavyoshauriwa maana sababu ya kutaka dawa ya kuongeza size ni nini? bila shaka ni hofu kutokana na kuona za wengine zilivyo kitu ambacho sicho kabisa,.so kama yeye ni mwanaume wa ukweli rijali na anamridhisha mpenzi wake, hakuna hakuna haja ya kutumia madawa, kwani anataka urefu aende kwenye maonyesho?
 
ndo maana anashauriwa kuwa, kama shida ni kumridhisha mpenzi wake aachane na madawa hayo afanye kama anavyoshauriwa maana sababu ya kutaka dawa ya kuongeza size ni nini? bila shaka ni hofu kutokana na kuona za wengine zilivyo kitu ambacho sicho kabisa,.so kama yeye ni mwanaume wa ukweli rijali na anamridhisha mpenzi wake, hakuna hakuna haja ya kutumia madawa, kwani anataka urefu aende kwenye maonyesho?[/QUOTE

mada aina hii zina wachangiaji wengi. nani kasema kuridhishana lazima uwe nayo kubwa, kumbuka kuna wengine hawana kabisa na mambo kwao ni poa kabisa. you are what you think you are, so think positive.
 
Usijali, mkuu wewe unaonekana ni mnene, sasa fanya mazoezi kila utapo kua unakonda utaona nalo dushelele wako anakua
 
Mkuu usifadhaike kwa size ya dushelele lako, hayo ni maumbile tu cha muhimu ni jinsi unavyotumia hilo dushelele kumfikisha mwenzio kileleni. Wengi wanafikiria unapokuwa na jembe kubwa ndio unaweza kumridhisha partner wako lakini jembe kubwa linahitaji damu nyingi zaidi kuweza kumaintain erection wakati jembe dogo laweza kumaintain erection kwa muda mrefu bila kuoverwork moyo.
acha kumlisha mwenzio kasa! dushelele kubwa linalipa mbayaaaaaaa, linagonga kuta zote bila shurti! chezeiya 8inches weye?? mnajipa moyo na vibamia vyenu! kama kuna mazoezi ya kufanya mshaurini afanye, ila madawa si mazuri kwa kweli! wapi gfsonwin, Zinduna, amu, Paloma, snowhite, eversmilin salt!!
 
Last edited by a moderator:

Cacico we uliye nae yake inch ngapi? au huwa unabadilisha badilisha ku explore?
 
ndo maana anashauriwa kuwa, kama shida ni kumridhisha mpenzi wake aachane na madawa hayo afanye kama anavyoshauriwa maana sababu ya kutaka dawa ya kuongeza size ni nini? bila shaka ni hofu kutokana na kuona za wengine zilivyo kitu ambacho sicho kabisa,.so kama yeye ni mwanaume wa ukweli rijali na anamridhisha mpenzi wake, hakuna hakuna haja ya kutumia madawa, kwani anataka urefu aende kwenye maonyesho?[/QUOTE

mada aina hii zina wachangiaji wengi. nani kasema kuridhishana lazima uwe nayo kubwa, kumbuka kuna wengine hawana kabisa na mambo kwao ni poa kabisa. you are what you think you are, so think positive.

we mringa umeelewa kilichoandikwa au na wewe umekurupuka kutoka usingizini na kujibu hoja hiyo hapo? kwa upande wangu sijasema kubwa zinaridhisha, bali hiyo ndogo aliyonayo kama anamridhisha mpenzi wake hakuna haja ya kutafuta madawa ya kuongeza size? and you, read careful and think positive.
 
Haijalishi una mashine kubwa au ndogo cha msingi ni matumizi. Mwandae partner wako vya kutosha kabla ya kazi yenyewe ili umfikishe kileleni vilivyo. Intensive love play matters a lot!
tusidanganyane mashine ina nafasi yake....
 
acha kumlisha mwenzio kasa! dushelele kubwa linalipa mbayaaaaaaa, linagonga kuta zote bila shurti! chezeiya 8inches weye?? mnajipa moyo na vibamia vyenu! kama kuna mazoezi ya kufanya mshaurini afanye, ila madawa si mazuri kwa kweli! wapi gfsonwin, Zinduna, amu, Paloma, snowhite, eversmilin salt!!

I totaly support you, mi kuna mtu mmoja anapanga kumwacha wa kwake, huyo mtu wake ana mahela tele lakini inabidi aje kwangu nimpe dozi anadai wa kwake anako kabamia! akikohoa kanatoka!

Kwa hiyo tusidanganyane mashine inayogusa kuta zote ina sifa zake
 
Natafuta dawa ya kuongeza size ya machine kwani size ni ndogo kutokana na nyeto.Any help plz!!!!!!thanx in advance

Tafuta mwenye bikra ukimpata size yako oa kabisa
 
Back
Top Bottom