Mbona hii coment yako haiendani na maudhui ya uzi...??Ni Kweli Mtoa Mada, Hata Mimi ilishawai kunitokea, Rafiki wa mke wangu, alikuwa ananisumbua mpaka nikaona isiwe tabu nikamtafuna.
Mbona hii coment yako haiendani na maudhui ya uzi...??
Ni kweli kabisa hata mm pia nathamini gari nnazo tumia, kwanza afya ya gari. Running condition, spare, matunzo yani service isiwe ya kuunga unga. Genuine filters oil nzuri na bora, uijue gari yako vizuri yani mf. Unaeza ukawa unatumia model flani ila ziko various like 2.0L or 2.5L hyo inamaana na ina impact kubwa. Tunza kias kwamba hata siku yakuuza huuzi sababu bovu ila Una badili gari tu, na pia sometimes hauuzi ila watu wanasumbua kulinnua.Baada ya kuhakikisha gari lako lipo makini hasa upande wa kiufundi kwa maana ya safari salama,kuna haja ya kuliweka gari yako kuliweka katika hali ya kimtazamo wa kipekee! Yaani lisionekane kama hulitaki wabongo wakiona hivyo hawakawii kukwambia uwauzie...Mimi binafsi gari naliona km wife material,kulipendezesha sioni gharama sana vitu km Bampers,carriers wheel covers sunvisors n.k. Ila yale mataa mataa ya pembeni sishauri. Naomba huu uzi uwe maalum tushauriane jinsi ya kufanya magari yetu yawe na mwonekano wa kipekee Ina raha yake jamani....Sio mtu unamiliki Harrier Hakuna tofauti na kirikuu.
Customisation ya gari inatakiwa iwe simple na ya kuvutia kwa kila mtu na isiyochosha macho ya watu mapema. ..Katika vitu nachukia ni Mipambo miiingi kwenye gari mpaka linageuka kuwa kama katuni. Gari lina urembo mpaka linakera mweeeeeeee. Yaani gari inapigwa drill mashine mpaka juu ya bonnet kisa tu urembo huu ni USHAMBA tubuana, be Gengleman hayo mambo ya Urembourembo ni ufala. Anyway hata sisi binadam saa, pete 6 vidoleni, cheni 8 shingoni, simu 6 mkononi, meno nane ya mbele yana dhahabu..Hakyani hata salamu yangu sikupi naokuona bwege fulani tu.
Be simple Man.....
WEWE MIMI KABISAKatika vitu nachukia ni Mipambo miiingi kwenye gari mpaka linageuka kuwa kama katuni. Gari lina urembo mpaka linakera mweeeeeeee. Yaani gari inapigwa drill mashine mpaka juu ya bonnet kisa tu urembo huu ni USHAMBA tubuana, be Gengleman hayo mambo ya Urembourembo ni ufala. Anyway hata sisi binadam saa, pete 6 vidoleni, cheni 8 shingoni, simu 6 mkononi, meno nane ya mbele yana dhahabu..Hakyani hata salamu yangu sikupi naokuona bwege fulani tu.
Be simple Man.....