Asante kwa kuchangiaHio ndio best option. .
Weka window/Linux kwenye ssd then tumia sata hdd for data. ..process zote zinafanyima on ssd. .hakikisha tu haitoi mstari mwekundu kwakuinstall program's nyingi kwakua itakua slow
It's like thresholds ya ujazaji wa hdd,ikifikia 90% ya hdd itaweka red. ..Asante kwa kuchangia
Ningependa kuujua huo mstari mwekundu ili niweze kuchukua tahadhari, ni kwamba unatokea kwenye screen au ni vipi.
Nilidhani ssd hata ukijaza programs uwezo wake ni wa juu kuzidi hdd yenye programs chache, kumbe ukijaza program kwenye sdd nayo inakuwa slow ?
Hiyo 120K unapata 1TB sata SSD.Nina laptop yangu ni core i5 - 7th gen, Ram ni 8 gb - ddr4, storage ni 1 TB - Hdd.
laptop yangu ina vyumba viwili vya ram, chumba kimoja kwa sasa hakifanyi kazi kwahio natumia ram moja tu yenye 8GB, zamani zilikuwa nafasi mbili jumla ya ram ilikuwa 16 gb.
nimeona speed ya pc imepungua si kama mwanzoni, ram zikiwa mbili huwa zinasaidiana ila kwa sasa ram moja ndio imebeba mzigo wate.
Nimepata wazo ninunue SSD ya GB 128 iwe kwajili ya windows na software, hdd ya 1 tb iwe kwajili ya kutunza files kama movie, series, picha, pdfs, n,k.
Bajeti yangu ya SSD haizidi 120,000.
Nina laptop yangu ni core i5 - 7th gen, Ram ni 8 gb - ddr4, storage ni 1 TB - Hdd.
laptop yangu ina vyumba viwili vya ram, chumba kimoja kwa sasa hakifanyi kazi kwahio natumia ram moja tu yenye 8GB, zamani zilikuwa nafasi mbili jumla ya ram ilikuwa 16 gb.
nimeona speed ya pc imepungua si kama mwanzoni, ram zikiwa mbili huwa zinasaidiana ila kwa sasa ram moja ndio imebeba mzigo wate.
Nimepata wazo ninunue SSD ya GB 128 iwe kwajili ya windows na software, hdd ya 1 tb iwe kwajili ya kutunza files kama movie, series, picha, pdfs, n,k.
Bajeti yangu ya SSD haizidi 120,000.
Sata drives ni nzuri kuzidi hdd lakini haziwezi kufikia speed ya SsdHiyo 120K unapata 1TB sata SSD.
Kwa 120k unapata SSD 500 GB agiza eBay, mimi nilinunua SSD 256 hadi inanifikia nilitumia 43k tu. Sumbawanga huku. Vumilia mwezi agiza, huku wanapiga sana. All the best.Nina laptop yangu ni core i5 - 7th gen, Ram ni 8 gb - ddr4, storage ni 1 TB - Hdd.
laptop yangu ina vyumba viwili vya ram, chumba kimoja kwa sasa hakifanyi kazi kwahio natumia ram moja tu yenye 8GB, zamani zilikuwa nafasi mbili jumla ya ram ilikuwa 16 gb.
nimeona speed ya pc imepungua si kama mwanzoni, ram zikiwa mbili huwa zinasaidiana ila kwa sasa ram moja ndio imebeba mzigo wate.
Nimepata wazo ninunue SSD ya GB 128 iwe kwajili ya windows na software, hdd ya 1 tb iwe kwajili ya kutunza files kama movie, series, picha, pdfs, n,k.
Bajeti yangu ya SSD haizidi 120,000.
120,000 unapata 1TB na change inabaki ssd zimeshuka bei mno.Nina laptop yangu ni core i5 - 7th gen, Ram ni 8 gb - ddr4, storage ni 1 TB - Hdd.
laptop yangu ina vyumba viwili vya ram, chumba kimoja kwa sasa hakifanyi kazi kwahio natumia ram moja tu yenye 8GB, zamani zilikuwa nafasi mbili jumla ya ram ilikuwa 16 gb.
nimeona speed ya pc imepungua si kama mwanzoni, ram zikiwa mbili huwa zinasaidiana ila kwa sasa ram moja ndio imebeba mzigo wate.
Nimepata wazo ninunue SSD ya GB 128 iwe kwajili ya windows na software, hdd ya 1 tb iwe kwajili ya kutunza files kama movie, series, picha, pdfs, n,k.
Bajeti yangu ya SSD haizidi 120,000.
Hata Nvme anapata kwa brand ndogo, brand kubwa ukitafuta vizuri 120 pia unapata.Hiyo 120K unapata 1TB sata SSD.
asante sana chief, binafsi sichezi kabisa games, natumia sana pc kwenye browsing, huwa nafungua tans nyingi, nilipobakia na single ram 8gb ndio nikaona pc imepungua speed.120,000 unapata 1TB na change inabaki ssd zimeshuka bei mno.
Pia mkuu unachomiss kwa kutokua na ram mbili hakitakua replaced na ssd.
Chukulia mfano ram ya kwanza Bandwidth yake ni 17GBps ukiwa na ram mbili inakuwa 34GBps hii Bandwidth husaidia kwenye Graphics za laptop, games na apps mbalimbali. Vitu vinakuwa Vinamove haraka toka kwenye Ram kwenda kwenye processor.
Ssd haitakusaidia hili, yenyewe ssd itakusaidia vitu kutoka kwenye storage kwenda kwenye ram haraka, mambo madogo madogo kama kuwasha computer, kufungua apps yatakua haraka haraka.
Ideal utahitajika kuwa na vyote ssd na dual chanell ram
Ni sawa ila ssd haitakusaidia kufungua Tab nyingi, Ram inahusika. Hizo tab zako haziwi stored kwenye Hdd unless ni Cache,asante sana chief, binafsi sichezi kabisa games, natumia sana pc kwenye browsing, huwa nafungua tans nyingi, nilipobakia na single ram 8gb ndio nikaona pc imepungua speed.
mawazo yangu ya ziada
ila mkuu kumbuka kwamba hii ram huwa inachukua mafaili kutoka kwenye hard disk, endapo hard disk ikiwa na speed ndogo mfano hizi hdd speed ya kuingiza mafaili kwenye ram inakua ndogo ila ram ikibeba mafaili kutoka kwenye ssd yenye speed kali system nayo si inapata kasi ?
kwenye hard disk hizi data zinatunzwa kwenye visahani vinavyozunguka, kuna vichwa vipo juu yake ndio inabidi viwe vinahama kila muda ili ku acces mafaili. hili zoezi lipo mechanical sana na linachangia speed kuwa ndogo tofauti na ssd zinazo access mafaili randomly bila kuhusisha vifaa vya ziada kuhama hama
umeelewa ulichosema kweli??Sata drives ni nzuri kuzidi hdd lakini haziwezi kufikia speed ya Ssd
Hiyo 120K unapata 1TB sata SSD.
Wapi?Hiyo 120K unapata 1TB sata SSD.