Kuongeza utagaji wa mayai

Kuongeza utagaji wa mayai

the kapex

Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
35
Reaction score
2
Jamani mimi ni mfugaji wa kuku wa mayai lakini tatizo ninalokumbana nalo ni kwamba kipato ninachopata hakilingani na gharama ninayotumia utagaji ni asilimia 50 nimejitahidi kubadili uchanganyaji wa chakula lakini wapi naomba formula itakayonifaa kuku bado ndio wa miezi 4 ya utagaji kuku toka Mwanza weusi
The Kapex Kahama
 
Jaribu kuwaona watalaam wa mifugo kwa ushauri wa kitaalam kulikokubadilisha uchanganyaji wa chakula wewe mwenyewe kwa kuwa kosa ambalo umelifanya au unaweza kulifanya ni kuwapa kuku chakula ambacho kitawafanya wawe na uzito mkubwa au mdogo kitu ambacho kinaweza kuchangia hilo tatizo,kwa maana hiyo wataalam wanaweza kujua aina ya kuku unaofuga na umri wao wanatakiwa kuwa na uzito gani,na kama kuku ambao hawatagi wamezito uzito unaweza kuwatenga na kuwapunguzia chakula then baada ya muda unawapima kujua kama zoezi limefanikiwa na juu ya hayo kuku ambao ni dhaifu wakiendelea kukaa pamoja na kuku wengine nafasi yao ya kula inakuwa finyu na wanazidi kudhoofu hivyo kufanya wezekano la kutaga kuwa dogo
 
pole sana,nashauri tafuta mfugaji mwenye kuku kama wako,muulize utagaji wao,then tumia aina ya chakula kama chake,pia ongea na mtunzaji kuku wako ujue feeding habits,sometimes wasaidizi wa kazi huwa ni chanzo.
kama vyote ni sawa,rudi kwa aliyekuuzia vifaranga,sometimes batch uliyonunua haikuwa nzuri.na kama wameshapata malalamiko kutoka kwa wateja wengine hii itawasaidia kuboresha uzalishaji wao wa vifaranga
 
Mi nililikuwa na tatizo kama hilo japo halijaisha vizuri lakini wanajitahidi,nilibadilisha formula mpaka nikachoka ila kuna formula natumia kwa sasa niliipata kutoka kwa baba yangu ni mfugaji mzoefu nina wk mbili tangu nianze kutumia sio mbaya sana nitakutumia kwa msg ,maana ma dr nao ni wasanii kila dr ana ya kwake pia jaribu kutembelea wafugaji ili ujifunze.
 
.....a niliipata kutoka kwa baba yangu ni mfugaji mzoefu nina wk mbili tangu nianze kutumia sio mbaya sana nitakutumia kwa msg ,maana ma dr nao ni wasanii kila dr ana ya kwake pia jaribu kutembelea wafugaji ili ujifunze.
Mkuu ungeiweka hadharani ingetufaa wengi!
 
Mi nililikuwa na tatizo kama hilo japo halijaisha vizuri lakini wanajitahidi,nilibadilisha formula mpaka nikachoka ila kuna formula natumia kwa sasa niliipata kutoka kwa baba yangu ni mfugaji mzoefu nina wk mbili tangu nianze kutumia sio mbaya sana nitakutumia kwa msg ,maana ma dr nao ni wasanii kila dr ana ya kwake pia jaribu kutembelea wafugaji ili ujifunze.
Ukiandikahapa unattuma kwa email??weka hadharani
 
Usiogope kuku uwa awaanzi wote kutaga kwa pamoja, kwa miez minne toka vifaranga. Cha msingi tumia formula ya layer kwa kuwa wameshafksha miez minne, wakifka miez sita kuku wote yaan asilimia 87 ya kuku watataga mayai kwa siku.

Mi nakushaur fata kanunu zote ukiona tatzo limezd muone mtaalam wa mifugo alye karbu nawe
 
Watenge wasiotaga uza au kula kupunguza gharama ya chakula, ungekuwa unafuga kwa keji ni rahisi kuwatambua wasiotaga
 
Back
Top Bottom