the kapex
Member
- Feb 4, 2011
- 35
- 2
Jamani mimi ni mfugaji wa kuku wa mayai lakini tatizo ninalokumbana nalo ni kwamba kipato ninachopata hakilingani na gharama ninayotumia utagaji ni asilimia 50 nimejitahidi kubadili uchanganyaji wa chakula lakini wapi naomba formula itakayonifaa kuku bado ndio wa miezi 4 ya utagaji kuku toka Mwanza weusi
The Kapex Kahama
The Kapex Kahama