Mkuu ungeiweka hadharani ingetufaa wengi!.....a niliipata kutoka kwa baba yangu ni mfugaji mzoefu nina wk mbili tangu nianze kutumia sio mbaya sana nitakutumia kwa msg ,maana ma dr nao ni wasanii kila dr ana ya kwake pia jaribu kutembelea wafugaji ili ujifunze.
Ukiandikahapa unattuma kwa email??weka hadharaniMi nililikuwa na tatizo kama hilo japo halijaisha vizuri lakini wanajitahidi,nilibadilisha formula mpaka nikachoka ila kuna formula natumia kwa sasa niliipata kutoka kwa baba yangu ni mfugaji mzoefu nina wk mbili tangu nianze kutumia sio mbaya sana nitakutumia kwa msg ,maana ma dr nao ni wasanii kila dr ana ya kwake pia jaribu kutembelea wafugaji ili ujifunze.