LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 677
- Thread starter
-
- #21
Kwa sasa hivi hii ndo najiandaa kufanyia kazi. Asante.Kama haina Miss-firing angalia labda kuna leakeage
miss-firing inassababishwa na spark plugs hazichomi au Spark Coil zimekufa
Sawanunua plug origino sio hizi za elfu 15000
Na zinapatikana Jo genuine spare parts and accessories tupo kinondoni vijana karibu kabisa na meridian hotels +25519263074/+255762263074nunua plug origino sio hizi za elfu 15000
Nitumie bei inboxNa zinapatikana Jo genuine spare parts and accessories tupo kinondoni vijana karibu kabisa na meridian hotels +25519263074/+255762263074
Kweli kabisaa mkuuUnaweza kukuta ni kasensa fulani tu kanamtesa...
Mkuu suluhisho limepatikana, tatizo lilikuwa ignition coil mbili zilikuwa dead!! Baada ya kureplace gari sasa hivi ni kama mpya??? Aione mkuu EINSTEIN112Mleta uzi ukishapata suluhisho, ni vuema ukaja kueleza kuwa ulikuta ni kitu gani kinashida...hii itasaidia kurahisisha maishsa kwa mtu yeyote ambaye anaweza kupata tatizo kama hili