Kuongezeka kwa ghafla ulaji wa mafuta ya gari

Kuongezeka kwa ghafla ulaji wa mafuta ya gari

Mleta uzi ukishapata suluhisho, ni vuema ukaja kueleza kuwa ulikuta ni kitu gani kinashida...hii itasaidia kurahisisha maishsa kwa mtu yeyote ambaye anaweza kupata tatizo kama hili
Mkuu suluhisho limepatikana, tatizo lilikuwa ignition coil mbili zilikuwa dead!! Baada ya kureplace gari sasa hivi ni kama mpya??? Aione mkuu EINSTEIN112
 
Back
Top Bottom