Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

Mwalimu alitushauri kamwe tusichague rais kutoka kabila kubwa! Tukumbuke hili 2025 tafadhali!!!
 
Tatizo lako ni ujinga.
Wewe endelea kama utakavyo, lkini si busara kumhika mikono aliyeendelea kwa vile eti wewe unataka kuendelea.
Hayo ni mawazo ya kijinga kabisa.
 
Mtoa maada hauko wazi binafsi sijakuelewa, ninaogopa kuchangia kwa hisia zangu! Una maanisha nini,? Ita faa ukitoa na mifano!
 
Vipi utaratibu wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa chato wakati Arusha au mwanza au geita hamna ni sawa?
Uwanja wa ndege uliopo chato ndiyo wa Geita , unasemaje Geita haina?! Je uwanja wa ndege kimataifa wa Kilimanjaro ambao upo wilaya ya Hai mpona hauiti uwanja wa kimataifa wa Hai badala yake unauita wa Kilimanjaro?! Kutoka KIA kwenda Arusha mjini ni kilomita kama 80, je tunahitaji uwanja wa kimataifa Arusha?! Mwanza mbona uwanja wa Ndege wa kimataifa upo ,ulishapanuliwa siku nyingi!
 
Hizo kazi za mikono yao ndiyo zimejenga lami zote mpaka migombani! Acha kuleta uchochezi!
 
Asante mkuu kwa mchango wako.
Nafikiri yanayojitokeza sasa yanadhihirisha michango ya mawazo ya wana JF.
 
Huenda kuna siku nitakukumbusha jambo.

Ngoja tuone hali itakavyoendelea kujifunua zaidi.
Funguka tu mzee, ukweli unapoheshimiwa huponya.

Tunaona sasa wateule wa Mwendazake toka kanda pendwa walivyopora mali na fedha.
 
Ingekuwa hawajivunii kazi za serikali wasingejazana huko na wasingezililia.
Hawajazani Bali wanaenda kwa kuwa wana sifa, wewe ulitegemea uchunge mbuzi alafu uwe serikalini? SOMA ULE awamu yenu ya washamba imeshapita sasa hivi tupo na MAMA
 
Vipi bado Ni 5 Tena? Hahahaha Zama za ushamba na ulimbukeni zishaisha
 
Wewe Naona unachanganya madesa
Yani mkerewe amzidi mchaga kwa elimu? My God mkerewe hata kwa mpare bado sana
Angalau mhaya ndio anawza ku compète na mchaga kielimu
Alafu kwa pesa ndio kichekesho Yani mkinga alieanza biashara ya NDAGU juzi Kati amfikie mchaga ambaye Ni mfanyabiashara kiasili? Hebu nitajie bilionea mmoja tu wa kikinga.
Unafananisha uchuuzi wa kariakoo na mabiashara makubwa i.e makampuni? Stage aliyopo mkinga now Ni uchuuzi ambao mchaga ashauvuka zamani mno
 
Mwambie huyo mla panya
 
Well clarification
 
Kwani wewe unajua kuwa mkinga hatofikia huko mkuu. Roman empire niambie iko wapi saivi? Yaani watu bana mnajua wenyewe ndo MNA akili tu. Sema mko kikenya Kenyatta sana na bora Mareale hakupewa Uhuru akapewa nyerere.
Saws mmesoma mbona teuzi mlilalamika kuwa hamkupata so mngekaa kwenye makampuni zenu. Na mlivyo hats kununua duka LA asiye mchaga kuna Sikh mtauziana wenyewe
 
Teuzi tulishazilamba mno,pia ma seniors wamejaa huko ma wizarani kibao tu au nikupatie staff list ya kila wizara?
Kwenye ma biashara tupo na serikalini tupo hatuangalii fursa moja tu
Alafu sisi sio wajinga hadi wengine watupite tunazid kutanua wigo sisi hatunaga chuki kama nyie za kutuombea tuporomoke sahau sahau sahau (in mwanri's voice)
NB*
Zama za kuendesha nchi kishamba zimepita sasahvi mama anatupeleka kunakostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…