Sijaelewa umeandika nini na ujaelewa mantiki yangu, “wanataka kuwa matajiri bila kufanya kazi" nini maana ya kazi au unahisi kubeba mizigo mizito mijasho ndio kazi.
Mi sioni tatizo kuwa na hao mamenta sijui walimu. Ila kama hauko commited na nia ya dhati ya kufanya biashara utakuwa muhuzuriaji wa kila semina na utamaliza vitabu vyote vya kiyosaki.