Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Kufanya utapeli utapeli, yaani vijana hawataki kuumiza vichwa,Sijaelewa umeandika nini na ujaelewa mantiki yangu, “wanataka kuwa matajiri bila kufanya kazi" nini maana ya kazi au unahisi kubeba mizigo mizito mijasho ndio kazi.
Feudal themes in information era.