Kuongezeka kwa wimbi la waalimu wa ujasiriamali na Uchumi, wengi wao wakijiita majina ya Coach, mentor, n.k

Lasway.Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
233
Reaction score
413
Ndugu wana Jf leo naomba nieleze kuhusu wimbi la watu wengi hasa mijini wanaoelekeza nguvu nyingi kuwafundisha watu hasa vijana Biashara hasa ujasiriamali !
Mimi katika pita pita zangu nimekutana na watu wengi sana kwenye mitandao na hata ana kwa ana na watu hawa wanajiita Walimu, coach, mentor na majina mengine mengi yenye kuvutia kulingana na kile anachokifanya.
Na vijana wengi na akina mama wamekuwa mstari wa mbele kuwasiliza na hata kuwalipa pesa nyingi ili tuu wafundishwe ujasiriamali au namna ya kujiajiri, pia hawa watu wameandika vijitabu ambavyo mara nyingi hulazimisha wale wanaowafundisha kuvinunua na kuvisoma pia wamekuwa wakidharau sana watu walioajiriwa na kuwaona kama waliopotea njia.
Hapa nina maswali au mambo machache ambayo wadau nataka tuisaidie jamii yetu hasa vijana
1. Je ni qualifications zipi mtu anatakiwa kuwa nazo ili ajiite mwalimu, coach, au mentor kwenye ujasiriamali?
2. Je kuna chomba gani au vigezo gani jamii hutumia ili kubaini waalimu, coach, mentor wa kweli kwenye ujasiriamali?
3.Ni wapi hasa watu hawa wanapatia katika kufundisha au ni wapi huwa wanafanya makosa sana?
4. Je kuna haja ya serikali kuingilia kati na kusimamia ubora na ueledi wa watu hawa ili wasiipotoshe jamii au kudanganya?

Wakati wadau mkiendelea kuchangia nimalizie kwa kusema kuwa kwa dunia ya sasa the next group of people ambalo litasikilizwa sana na kupewa uzito sio tena wanazuoni au wasomi bali ni watu wale ambao wameweza kutatua matatizo ya watu na kuwapa solution stahiki na matajiri au entrepreneurs

Lakini tusipojenga misingi imara ya kukua tumsilize nani na wapi tutapata taarifa au elimu sahihi ya haya mambo tutaishia kuwa na kizazi cha hovyo kabsaaaa
Karibuni[emoji91][emoji41]
 
Hao wenyewe hata karanga hawauzi.

Hawa ndio wapiga dili mambo leo. (Wapiga dili kipindi hiki cha JPM)
 
Watanzaia wengi ni boko haram,wanapinga elimu ila habari za Diamond na alikiba mbona hamulizi wana elimu ghani?

Wake you MTF!

Elimu mnapinga ila vigodoro sawa
 
Kinachosababisha waongezeke kupewa airtime saana ni kwamba elimu yetu ya darasani huwa haitusaidii kutatua changamoto za maisha hususanu katika kujiajiri. Zipo tuu kutusaidia kuandaa watu kuwa waajiriwa.

Hawa mentors kwa kiasi fulani huwapa watu confidence na pia huelezea the real situations katika biashara na fursa tofaut na darasan ambapo focus kubwa n kukariri na kufaulu mitian

Cha msingi ni za kuambiwa changanya na zako.

Kuna mwalimu mmoja lecturer alikua anafundisha interpreneurship na namna ya kujiajiri au kuwa mjasiriamali. Sasa alikuwa part time. Siku chuo walikataa kumuongezea mkataba alilalamika saana.

Wanafunzi tukawa tunasema si aanzishe mirad. Jus like the way he used to teach us. Hiyo ndio failure ya walimu na elimu hii "formal education'
 
Haaa haaaaa ndio hao sasa , shida kubwa nini?
 
Ndugu wana Jf leo naomba nieleze kuhusu wimbi la watu wengi hasa mijini wanaoelekeza nguvu nyingi kuwafundisha watu hasa vijana Biashara hasa ujasiriamali !
Mimi katika pita pita zangu nimekutana na watu wengi sana kwenye mitandao na hata ana kwa ana na watu hawa wanajiita Walimu, coach, mentor na majina mengine mengi yenye kuvutia kulingana na kile anachokifanya.
Na vijana wengi na akina mama wamekuwa mstari wa mbele kuwasiliza na hata kuwalipa pesa nyingi ili tuu wafundishwe ujasiriamali au namna ya kujiajiri, pia hawa watu wameandika vijitabu ambavyo mara nyingi hulazimisha wale wanaowafundisha kuvinunua na kuvisoma pia wamekuwa wakidharau sana watu walioajiriwa na kuwaona kama waliopotea njia.
Hapa nina maswali au mambo machache ambayo wadau nataka tuisaidie jamii yetu hasa vijana
1. Je ni qualifications zipi mtu anatakiwa kuwa nazo ili ajiite mwalimu, coach, au mentor kwenye ujasiriamali?
2. Je kuna chomba gani au vigezo gani jamii hutumia ili kubaini waalimu, coach, mentor wa kweli kwenye ujasiriamali?
3.Ni wapi hasa watu hawa wanapatia katika kufundisha au ni wapi huwa wanafanya makosa sana?
4. Je kuna haja ya serikali kuingilia kati na kusimamia ubora na ueledi wa watu hawa ili wasiipotoshe jamii au kudanganya?

Wakati wadau mkiendelea kuchangia nimalizie kwa kusema kuwa kwa dunia ya sasa the next group of people ambalo litasikilizwa sana na kupewa uzito sio tena wanazuoni au wasomi bali ni watu wale ambao wameweza kutatua matatizo ya watu na kuwapa solution stahiki na matajiri au entrepreneurs

Lakini tusipojenga misingi imara ya kukua tumsilize nani na wapi tutapata taarifa au elimu sahihi ya haya mambo tutaishia kuwa na kizazi cha hovyo kabsaaaa
Karibuni[emoji91][emoji41]
Ni fursa. Wanafanya ujasiriamali pia.
 
Kwani shida yenu nini kwamba watu wasielimishwe.

Simply unasema hivyo kwasababu umezinduka na unajua each and everythings ila kuna watu ambao hadi leo wapo kwenye Box hajui dunia inaendaje sasa mtu kama huyu ukimpatia mtu kama MC LUVANDA ndio inakuwa starting point yake kuijui hii nyanja na kupata uchu.

Binafsi najua mchango wao hawa ndio wakwanza kuwajua na kunipa moto wa malengo hadi leo ninamilli Biashara angalau moja na Vipande kwenye kikampuni.

NB: unawaona hawana maana kwasababu ushapata iyo elimu, so huduma yao inawahusu wasioopata iyo elimu simply.
 
Hiyo ni biashara kubwa sana ulaya na ametica mentorship sema kule inafanywa na watu ambao kweli wametoka kimaisha sasa hawa wanavaa suti wamepauka miguu wanasoma articles kwenye vitabu vya kina Kayosaki au Tai lopez na mentor wengine wanakuja huku wanandaa fursa kuhudhuria semina lak moja...wanakuruvuga tu sababu vitu vingi wanaongoea havi apply hapa au aina ya watu wanaongea nao hawana uwezo wa kuyafanya ndio maana wanaishia kiwashauri ufugaji wa kuku,klimo cha mboga mboga na mapapai...huwez kusikia international bussneses wanazungumza humo humo na wao hawana biashara yoyote zaid ya kuwageuza nyie wahudhuria semina ndio fursa na kuuza vitabu na kutongoza wanawake wanao enda kwenye semina.!
 
Tz watu Hawa wamekua wengi..Mimi naona imegeuzwa biashara.Sio wote walitakiwa kufanya iyo kazi
 
Ndugu wana Jf leo naomba nieleze kuhusu wimbi la watu wengi hasa mijini wanaoelekeza nguvu nyingi kuwafundisha watu hasa vijana Biashara hasa ujasiriamali !
Mimi katika pita pita zangu nimekutana na watu wengi sana kwenye mitandao na hata ana kwa ana na watu hawa wanajiita Walimu, coach, mentor na majina mengine mengi yenye kuvutia kulingana na kile anachokifanya.
Na vijana wengi na akina mama wamekuwa mstari wa mbele kuwasiliza na hata kuwalipa pesa nyingi ili tuu wafundishwe ujasiriamali au namna ya kujiajiri, pia hawa watu wameandika vijitabu ambavyo mara nyingi hulazimisha wale wanaowafundisha kuvinunua na kuvisoma pia wamekuwa wakidharau sana watu walioajiriwa na kuwaona kama waliopotea njia.
Hapa nina maswali au mambo machache ambayo wadau nataka tuisaidie jamii yetu hasa vijana
1. Je ni qualifications zipi mtu anatakiwa kuwa nazo ili ajiite mwalimu, coach, au mentor kwenye ujasiriamali?
2. Je kuna chomba gani au vigezo gani jamii hutumia ili kubaini waalimu, coach, mentor wa kweli kwenye ujasiriamali?
3.Ni wapi hasa watu hawa wanapatia katika kufundisha au ni wapi huwa wanafanya makosa sana?
4. Je kuna haja ya serikali kuingilia kati na kusimamia ubora na ueledi wa watu hawa ili wasiipotoshe jamii au kudanganya?

Wakati wadau mkiendelea kuchangia nimalizie kwa kusema kuwa kwa dunia ya sasa the next group of people ambalo litasikilizwa sana na kupewa uzito sio tena wanazuoni au wasomi bali ni watu wale ambao wameweza kutatua matatizo ya watu na kuwapa solution stahiki na matajiri au entrepreneurs

Lakini tusipojenga misingi imara ya kukua tumsilize nani na wapi tutapata taarifa au elimu sahihi ya haya mambo tutaishia kuwa na kizazi cha hovyo kabsaaaa
Karibuni[emoji91][emoji41]
Ila mpunga wanapiga ile noma, kuna mmoja anajiita Mikono speakers, muhuni muhuni, halafu anapenda hela yupo tayari aue ili atajirike. Sema hili wimbi la vijana wa ki Tz kutamani utajiri bila kufanya kazi limeota mizizi.
 
Nini maana ya kazi mkuu unavyojua wewe.
 
Kwani shida yenu nini kwamba watu wasielimishwe.

Simply unasema hivyo kwasababu umezinduka na unajua each and everythings ila kuna watu ambao hadi leo wapo kwenye Box hajui dunia inaendaje sasa mtu kama huyu ukimpatia mtu kama MC LUVANDA ndio inakuwa starting point yake kuijui hii nyanja na kupata uchu.

Binafsi najua mchango wao hawa ndio wakwanza kuwajua na kunipa moto wa malengo hadi leo ninamilli Biashara angalau moja na Vipande kwenye kikampuni.

NB: unawaona hawana maana kwasababu ushapata iyo elimu, so huduma yao inawahusu wasioopata iyo elimu simply.

Very interesting point...
 
Wapo walio wakweli ila wengi wao ni wachumia tumbo
Halaf hata wewe inginia lasway nilishakuona katika washa kadhaa za ujasiriamali ukiwa kama mtoa mada vipi kaka na wewe ndio umeshakua motivation speaker
 
Ila mpunga wanapiga ile noma, kuna mmoja anajiita Mikono speakers, muhuni muhuni, halafu anapenda hela yupo tayari aue ili atajirike. Sema hili wimbi la vijana wa ki Tz kutamani utajiri bila kufanya kazi limeota mizizi.

Mikono ananijazia ma-email kibao kwenye inbox yangu....nisha-delete mpaka vidole vinauma!

But I cant knock the hustle though,the nigga is trying to live!
 
Kila mtu anajaribu kupambana na hali halisi na hizo ndo nafasi zenyewe.Sena watanzania wengi tunapenda kulishwa Sana .Ndo maana hata wanaotoka hapo wakaanzisha hizo biashara so za kuduma kea sababu misingi ya biashara inahitaji mtu mwenyewe sio akili yakupandikiziwa.
 
Nini maana ya kazi mkuu unavyojua wewe.
Ukiajiriwa au ukianza biashara, ni muhimu kuwa na vision ya ku emass hicho unachokifanya na not to think of becoming rich. Kuna mdau mmoja juzi kati hapa alishitakiwa na mamlaka ya mapato ukiangalia ni Tz tena kijana anapewa kazi na TRA then anawatapeli! Hivyo kazi siyo kuajiriwa tu au kujiajiri bali ni kuwa na vision yako.
 
Sijaelewa umeandika nini na ujaelewa mantiki yangu, “wanataka kuwa matajiri bila kufanya kazi" nini maana ya kazi au unahisi kubeba mizigo mizito mijasho ndio kazi.

Feudal themes in information era.
 
Back
Top Bottom