Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Habarini za kazi na miangaiko ya maisha wana jamvi, tafadhalini naomba kujua ni sababu gani zinaweza kumfanya mtoto asiongezeke uzito? Mfano mwanangu anamiezi 4 na wiki2 lakini tangu akiwa na miezi 3 uzito wake ni 7.1 Kg hadi leo, walipo mpeleka kliniki nesi hakuwapa ushauri wa kwanini haongezeki uzito, Naomba kujua tatizo kupitia huku JF doctor