Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
- Thread starter
- #41
Huyu sister yuko bomba sana, mtutsi, lakini namuona mkorofi fulani na anajisikia sana. Hata rafiki zangu anawaonyesha dharau na baadhi wameanza kummind. Kwa kuwa mimi ni kijana mpole nahisi akishakamata wizara ataleta zake fulani za kufanya maisha ya ndoa yawe magumu. Acha tuzoeane vema kama wapenzi halafu tutajua destiny baadae, eh mamaa!!hee kwa hiyo bado unaendelea kuonja onja ???