Kuonja hairuhusiwi?

hee kwa hiyo bado unaendelea kuonja onja ???
Huyu sister yuko bomba sana, mtutsi, lakini namuona mkorofi fulani na anajisikia sana. Hata rafiki zangu anawaonyesha dharau na baadhi wameanza kummind. Kwa kuwa mimi ni kijana mpole nahisi akishakamata wizara ataleta zake fulani za kufanya maisha ya ndoa yawe magumu. Acha tuzoeane vema kama wapenzi halafu tutajua destiny baadae, eh mamaa!!
 
A man knows when a lady fakes-------- I know you know but you just dont want us to know that you know
 
Ndoa ni lazima uende kanisani au msikitini? ukisha megana ndo ushafunga ndoa! sasa hesabu ni wangapi waume/wake zako
 
A man knows when a lady fakes-------- I know you know but you just dont want us to know that you know

Na kwanini huwa mnafeki? Mnakua mnaumia mnataka jamaa amalize haraka au mziki unakuwa haujapigwa ala vizuri?
 
Ahaa! Kumbe ulikuta kitu used?
Sasa alikuwa anaringa nini?
Sasa mjaribu tena unataka kuonja mtandao wa kujiexpress uone.
MI SIMO lakini~

Teh teh teh! Na wewe chizi kama Ngoshwe nini? Mimi line yangu tofauti, situmii huo mtandao wa kujiexpress bwana.
 
Ambassador kwani wewe huwajui watusi jamani ..wale waache waoane wao kwa wao kama mko hapa msinimeze sorry ..
Na pia kumbe wewe unaangalia uzuri wa sura zaidi
 
Teh teh teh! Na wewe chizi kama Ngoshwe nini? Mimi line yangu tofauti, situmii huo mtandao wa kujiexpress bwana.

Shauri yako, usije ukasema sijakushauri.
Watakusaidia Watu kuongeza Salio.
Narudia tena: MI SIMO!
 
ZINAA!!! Siku izi vya haramu vimekuwa halali!!!!! Na nivitamu!! Ushajionjea, na kama kaugonjwa kapo hapo na mlienda kavu na kenyewe kamekuonja!!!
 
Ambassador kwani wewe huwajui watusi jamani ..wale waache waoane wao kwa wao kama mko hapa msinimeze sorry ..
Na pia kumbe wewe unaangalia uzuri wa sura zaidi

Ningekuwa naangalia uzuri wa sura zaidi ningekubali kuvumilia shida zote niwe nae ndani. Sura inakuvuta kufuatilia yaliyomo ndani, ikiwemo tabia.
 
ZINAA!!! Siku izi vya haramu vimekuwa halali!!!!! Na nivitamu!! Ushajionjea, na kama kaugonjwa kapo hapo na mlienda kavu na kenyewe kamekuonja!!!

Mbona unanihukumu? Kweli nampenda kwa hiyo namlinda.
 
Kweli bwana! huyu muonjaji ilibidi atupe data kamili basi, kama bibie ni mchumba wake au mke wa mtu au yeye mwenyewe ni mme wa mtu au mchumba wa mtu - hapo hata maoni ya watu yangekuwa kamili kamili. Hata hivyo hebu tutoe angalizo: Kwa maelezo yako wewe muonjaji inaelekea ulikula kavu kavu! kama ndivyo, basi si kwa huyu tu, ni mazoea yako kupenda kuonja kimtindo huo. Kwa mwendo huo angalia "tusikulie ubwabwa muda si mrefu!"
Waombe wajumbe wa jamvini humu, wakueleze yaliyompata bwana mmoja huko Moshi, KNCU Hotel room No 53 siku za karibuni ili ujiadhari yasikufike na wewe maana tutakusikitikia pia!
Kichwa cha habari kinauliza swali - kuonja hairuhusiwi? Kumbe kuonja tayari, swali la nini tena? we ushakula hata ukiambiwa hairuhusiwi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…