Kuota ndoto ninafanya mtihani, mwenye kuelewa anisaidie

Afadhali mwenzetu unaota unfanya mtihani wa sekondari wenzio tunaota tunafanya mitihani ya chekechea
 
Asa
Asante mkuu
 
Hiki kipnd cha mwezi mmoja uliopita niliota ndoto ya kupata msiba kwa watu wangu wa muhim na ndoto ya kukutana na nyoka zilizojirudia siku tofaut tofaut..
Na juz tumepoteza mtu wa karibu kwa familia yetu had nmepata waswas juu ya hiz ndoto nazozipitia
 
Kama wewe siyo nabii, ignore ndoto zote unazoota kwa vile hazina maana yoyote. Kama wewe ni nabii, tafuta maana kwa vile itakuwepo.
 
Miezi miwili iliyopita nimemaliza sekondari ndotoni na kufungasha makablasha yote rasmi mpaka hapa sijaota ndoto nyingne ya shule, sasa hapa ndo siielew hii ilimaanisha nini.
 
Umeelezea vizuri Sana hongera
 
Kweli mkuu
 
mimi nimeota niko chuo wakati nishamakiza muda tu.. alafu nApewa taarifa ya siku ya mtihani ila sijajiandaa na pia sina ari ya kujiandaa, yaan sina mzuka nakua kama hainistui.. meanwhile somo lenyew ni gumu dizaini flani linahitaji nisome.


nifafanulieni wajuvi.
 
Aisee, mi mwenyewe ndoto za namna hiyo nimeota sana hadi nishazoea, naota nimechelewa chumba cha mtihani, hivo nikachelewa pepa, mara nimesoma kwa ajili ya pepa lingine, mtihani umetoka wa pepa lingine, mara msimamizi wa mtihani kanipokonya kabla sijamaliza kujaza eti muda umeisha, yaani sijawahi ota kuhusu mtihani na nikafaulu huko ndotoni, ni kufeli feli tu, afu shule nilishamaliza miaka mingi nyuma.

ila nahisi ni ndoto tu sidhani kama kuna tafsiri yoyote.
 
[QUOTE="Mshana Jr, mkuu umeeleza vizuri sana

Siyo siri upo vizuri kwenye kutafsiri ndoto, nakumbu iliwahi tafsiri ndoto ya kuhusu kuota mtu amekufa, ulitafsiri kwamba inamaanisha uzao, nakweli nimeota ndoto za namna hiyo mara kadhaa kisha ndg zangu wanajifungua.
 
Wewe ni mm kabisa ila mm huwa nazipuuza
 
Tafsiri yake ni kwamba kusoma ni mateso na ni kitendo ambacho hakileti furaha kihivyo.
Ulipomaliza hatua za elimu ya mwisho kwa kiwango cha ulazima kwako ni kama umetua mzigo mzito mno na ndio maana unaposhtuka kutoka ndotoni na kukuta hali ya ndoto inakuwa ndivyo sivyo furaha inakuwa ni mara dufu zaidi.
Kifupi ni kumbukumbu ya mateso ya kusoma kupitia ndoto.
 
Aisee...niliota hizi ndoto mpaka.nikakosa Raha..nazikawa zinajirudia rudia..NILIMUOMBA Mungu.aniondolee hizo ndoto. Ziliondoka..japo.sikupata maana.

Nilikua nawaza kurogwa TU. But SAIV sizioti Tena..Subhanaallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…