Kuota ndoto ninafanya mtihani, mwenye kuelewa anisaidie

Kawaida mbona mkuu tunaota sana ndoto Kama hzo relax
 
omba mungu akuepushe na roho za kukurudsha nyuma
 
Yaani mimi ninaota hizo ndoto mpaka sina amani. Ila wiki ijayo nitaleta majibu humu
 
asante kwa maelezo mazuri
 
Acha na tafsiri za Wachawi, Waganga na wasoma Nyota.

Kuota unafanya Mtihani umalize Maana Yake Upo nyuma sana kumtafuta Mungu. Ongeza bidi kumtafuta Mungu Kuna kitu kinakukwamisha. Yule atakayeshinda vita ndiye atakayeingia Mbinguni.


✔✔✔ 100%.
 
KUOTA NDOTO UNAFANYA MTIHANI AMBAO ULISHA UFANYAGA MIAKA MINGI IMEPITA .


Ndoto hii ni tofauti na kuota ndoto umerudi shuleni. Ndoto hii ni tofauti kabisa na kuota ndoto umerudi shule.
Vipi pale unaota unataka kufanya mtihani ambao ulishaufanya....lakini kwenye ndoto hii unakuwa na hofu kuu...kwamba utafeli au hujajiandaa vema....yaani unakuwa na homa kuu ya mtihani kiasi kwamba unaamka mapigo ya moyo yako high....
 
Kuna changamoto utapitia au unapitia kwenye maisha ndio maana ya iyo ndoto na je? Ulikua hatua gan? Ya elimu uliona kwenye ndoto? Msingi au sec au chuo na je mthian ulikua wa somo gan? Vyote ivyo vina maana.
 
Mshana Jr mimi nimeota nimepiga pepa vizur la interview nimepita na 81 lkn nimekuja kufanya kweli nimezingua nimepata 58 hii ina maanisha nn mkuu
 
Mshana Jr mimi nimeota nimepiga pepa vizur la interview nimepita na 81 lkn nimekuja kufanya kweli nimezingua nimepata 58 hii ina maanisha nn mkuu
Ndoto inakuaga ni kinyume mkuu kwa mf unaweza kuota kwenu kuna msiba ila kihalisia inasemekana kuna uzao utaongezeka kwenye familia yenu au ukoo wenu

Samahani nimeingilia swali na sijaulizwa mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…