Kuota ndoto umejinyea ina maana gani?

Kuota ndoto umejinyea ina maana gani?

Jana usiku nimeota eti nimejinyea hapa sina naomba kujua you inamaana gani kwenye ulimwengu wa roho.
Ukiota umejinyea, utakutwa na jambo la kukuaibisha ambalo limetokana na wewe mwenyewe au kusababishiwa hivyo chukua hatu ya kukataa roho ya aibu katika ulimwengu wa roho
 
Jamani namba kufaham maana ya ndoto nilio ota leo nimeota nimejinyea na baada ya hapo nikaenda kujisafisha. hivi inamaana gani
 
Mkimaliza na mm mnisaidie niliota nafirah mtu sjui Ina maan gani
 
Back
Top Bottom