Kuota ndoto za kutisha kwa mnywa pombe

Kuota ndoto za kutisha kwa mnywa pombe

Chambo81

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
441
Reaction score
200
Wakuu ninaomba kujulishwa suala hili: Ni kwamba katika maisha ambayo nimeyazoea kwa sasa ni kwamba kila ifikapo jioni/usiku baada ya kazi zangu ni lazima nipate kilevi(angalau chupa 2 za bia) ndo nakwenda kulala, kinachonishangaza ni kwa nini siku nikiwa sober yaani kichwa kikavu bila kilevi nikilala naota ndoto za kutisha tena kwa kupiga kelele kwa kushtuka shtuka mpaka mtu nilielala nae anakua na wasiwasi ila nikinywa hua nalala safi au kama nimekunywa kidogo naweza nikaota ndoto za kawaida tu, swali langu ni je ni kila mlevi inamtokea hii? Na hii hali ya kuota ndoto mbaya ukiwa sober inasababishwa na nini?

Naombeni jibu kwa anayefahamu
 
Dah hata mm hali hiyo hunitokea mara kwa mara pia nina rafiki yangu naye pia humtokea, ukilala saa tatu ukiwa sober ikifika saa sita unaona mapicha picha ya ajabu na hofu kuu huwezi thubutu kulala mwenyewe au kuzima taa
 
Back
Top Bottom