Leo Asubuhi
Member
- Apr 5, 2017
- 64
- 43
Natumia dawa za kienyeji za kupaka,zimesaidia sana na kinazidi kupunguaUmeshapona mkuu
Dawa gani hizo mkuu tuelekezane nami ninakoNatumia dawa za kienyeji za kupaka,zimesaidia sana na kinazidi kupungua
Vp ushawahi kwenda hospitalini kupimaNatumia dawa za kienyeji za kupaka,zimesaidia sana na kinazidi kupungua
hapanaVp ushawahi kwenda hospitalini kupima
Chako kipo kwandani karibu na koo katika kimeza tonge auhapana
Niyo, mwisho wa ulimi..nmetumia dawa ya kupaka kwakweli kuna ahueniChako kipo kwandani karibu na koo katika kimeza tonge au
Dawa gani hiyo mkuu tuelekezane nami niponeNiyo, mwisho wa ulimi..nmetumia dawa ya kupaka kwakweli kuna ahueni
njoo DMDawa gani hiyo mkuu tuelekezane nami nipone