Kuota nyama(kipande Cha nyama) mwisho wa ulimi

Kuota nyama(kipande Cha nyama) mwisho wa ulimi

Leo Asubuhi

Member
Joined
Apr 5, 2017
Posts
64
Reaction score
43
Habari za weekend wadau, Nina tatizo Kuna nyama imeota unapoishia Ulimi, ambao unasababisha maumivu makali Kooni na Kuna kipindi Koo linakuwa limekauka Sana, kifua kubana na kupumua kwa shida. Hospital nimekuwa nikipewa dawa tu ambazo naona hazijanisaidia Sana..naomba wadau Kama Kuna ushauri/dawa ya kukausha au kuondosha haraka.Naombeni msaada maana Hali n mbaya.
 
Unaeeza kuwa na acid reflux ambayo na mimi ninayo na hicho kinyama unachosemea unaweza kukuta ni lingual tonsil, huwa zikisumbuliwa na acid zinavimba. Pia acid inasababisha koo kukauka hasa asubuhi. Acid mara nyingi inasababishwa na vidonda vya tumbo kama mimi au hernia. Nenda hospital ukapime H.pylori mdudu anaesababisha vidonda vya tumbo.
 
Back
Top Bottom