mbwana semsimbazi
Senior Member
- Sep 5, 2013
- 196
- 202
Hapo ndo utajua Maharage sio mboga tu pia linaweza kuwa jina la mtuUlishawai kuwa nyumbani na wazazi mnacheki movie, alafu ghalfa inakuja sex scene..watu wanashikana shikana wanapigana mabusu nk...
Dingi anapagawa ili kuuwa noma anakuuliza Josee ushapiga pasi gari..??
Na wewe ulivyochanganyikiwa unamjibu umeme umekatika mzee..
[emoji3][emoji3][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379]
Hapo ndo utajua nobody can stop Reggae
Ulishawai kuwa nyumbani na wazazi mnacheki movie, alafu ghalfa inakuja sex scene..watu wanashikana shikana wanapigana mabusu nk...