kupagawa kwa dingi na mtoto

kupagawa kwa dingi na mtoto

mbwana semsimbazi

Senior Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
196
Reaction score
202
Ulishawai kuwa nyumbani na wazazi mnacheki movie, alafu ghalfa inakuja sex scene..watu wanashikana shikana wanapigana mabusu nk...
Dingi anapagawa ili kuuwa noma anakuuliza Josee ushapiga pasi gari..??
Na wewe ulivyochanganyikiwa unamjibu umeme umekatika mzee..
[emoji3][emoji3][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379]

Hapo ndo utajua nobody can stop Reggae
 
Mbona mimi mdingi wangu alikuwa akiniambia vile ndio unatakiwa kula denda(french kiss)
 
Ulishawai kuwa nyumbani na wazazi mnacheki movie, alafu ghalfa inakuja sex scene..watu wanashikana shikana wanapigana mabusu nk...
Dingi anapagawa ili kuuwa noma anakuuliza Josee ushapiga pasi gari..??
Na wewe ulivyochanganyikiwa unamjibu umeme umekatika mzee..
[emoji3][emoji3][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379]

Hapo ndo utajua nobody can stop Reggae
Hapo ndo utajua Maharage sio mboga tu pia linaweza kuwa jina la mtu
 
Ulishawai kuwa nyumbani na wazazi mnacheki movie, alafu ghalfa inakuja sex scene..watu wanashikana shikana wanapigana mabusu nk...
Dingi anapagawa ili kuuwa noma anakuuliza Josee ushapiga pasi gari..??
Na wewe ulivyochanganyikiwa unamjibu umeme umekatika mzee..
[emoji3][emoji3][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379]

Hapo ndo utajua nobody can stop Reggae

Ahaha hii kalii
 
Back
Top Bottom