Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idea nzuri sana hii watapunguza kwenda nayo kubeba malaya temeke na itapunguza pia matumizi ya siyo faa na kujihonga magari , ingawa kwa tanzania hii......! 🤣Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?View attachment 3041928