Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?View attachment 3041928
Idea nzuri sana hii watapunguza kwenda nayo kubeba malaya temeke na itapunguza pia matumizi ya siyo faa na kujihonga magari , ingawa kwa tanzania hii......! π€£