Kupambambana na rushwa nchini

Kupambambana na rushwa nchini

tyadcodar

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
170
Reaction score
12
Kila siku najuiliza nini chanzo kkikuu na kinacho sababisha rushwa isipingue badala yake imekuwa ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, kama wizi ilivyo kwa watumishi wa umma wezi huutwa wajanja.

siongelei mi rushwa mikubwa maana hao wameshaharika dawa yao ni sheria kuchukua mkondo wake,naongelea kuandaa kizazi kichachokuja kuogopa kupokea na kutoa rushwa nini kifanyike?

Leo hii tunawafundisha watoto maadili mema nyumbani hata mashuleni,na maisha yanaenda ya kiongezeka, vijana anamaliza form 6 anaingia chuo kikuu,amepata kazi serikalini,alikuwa anaishi na mlezi,mzazi sasa umefika wakati wa kujitegemea anataka kupanga nyumba anaambiwa alipe kwa mwaka,hapo ndiyo ana mshahara wa mwezi wa pili atatoa wapi hizo pesa? Je sheria ya nchi ya upangishaji nyumba za kuishi ipo?kama ipo inasemaje na nani anasimamia kama eura anavyosimamia vyombo vya usafiri?
 
Back
Top Bottom