Kupambana na Kiba "The King" ni ngumu na gharama sana

Napitia comment zenu hapa naona jinsi mlivyochomwa nazidi kuelewa namna KIBA anavyowatesa hahahaaaa...upuuzi wote wa comments zenu naujibu kwa hii comment moja...hii comment ni mjumuisho wa upuuzi wenu wote mlokoment...akili zenu na alotengua ubunge wa lissu zinafanana asa sisi akina prof ASSAD hatuwez jibu kila upuuz hahahahaaa..
 
Hahahahaaaa nadhani ungeanza kujiuliza WHY UNAPENDA KUJIBU PUMBA ZANGU?
Hiki Ni kichekesho ambacho akijapata kutokea Tanzania duh eeh bwana umetoa Kali za mwaka.Hiv kwanini we jamaa unapenda kuandika pumba Sana hiv unakuaga unaandika wakati upo msalani Nini?
 
Hiki Ni kichekesho ambacho akijapata kutokea Tanzania duh eeh bwana umetoa Kali za mwaka.Hiv kwanini we jamaa unapenda kuandika pumba Sana hiv unakuaga unaandika wakati upo msalani Nini?
Aiyo Akijapata kutokea ni Hakijapata kutokea ili hiyo H ioneshe ukanushi..mnakimbia shule mnakimbilia JAMIIFORUM mbuz wa mzee heri.
 
Pole sana mtoa mada... Tunamualika kiba100 kwenye wasafi festival
 
Mhmm mm nachojua alikiba anasauti nzuri ya kuimba bx cjui vingine ila kuna jmaa yy haijalish saut wala nn yy anatfta pesa
 
Hivi KIBA alishawahi kuwa KING wa bongo flava ??...
Sikumbuki ni lini kabla ya promo za rockstar na Clouds ambazo lengo lake lipo wazi.

punguzeni kumforce kuchukua title asiyoiweza maana mnampa tabu mswahili wa watu.
So ROCKSTAR na CLOUDS wameungana katika hiko unachokifikiria?..poor U...umewasahau na SONY kaka.
 
Kiba anabebwa na mashabiki hamna chochote.
Tena ashukuru Mungu bifu lake na Mond lasivyo angekuwa kama z anton
Alianza kuimba kabla ya huo uchafu unaoutaja je alikuwa na bifu na babako?..hahahahaaaaa na mashabiki tunashabikia kilicho kizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…