Kupambana na Kiba "The King" ni ngumu na gharama sana

Mwaka jana diamond alitoa ngoma moja tu ya baila na zingine zote alishirikishwa au umesahau?

Na cha ajabu Tanzania haikuwa nominated kwenye tuzo yoyote Africa na duniani ila mwaka huu kwa migoma hii subiri maajabu
Siyo kuwa NOMINATED TU watu WALICHUKUA KABISA TUZO MZEE upo DUNIA GANI.
 
Hahahaaaa!haya mambo haya dooo!umebonga shudu aisee tena la mwaka
 
Kama kiba alivyomkanyaga boya wenu KTMA then NAFCA
We jamaa ujui kitu Bora kashabikie lede mziki upo juu ya uwezo wako.wadau msimjibu huyu mtoa mada naona akili yake haifanyi kazi alafu anapenda ligi za kipuuzi hiv uoni aibu wadau wote wamekupinga hakuna anayesapoti upuuzi uliandika.
 
We jamaa ujui kitu Bora kashabikie lede mziki upo juu ya uwezo wako.wadau msimjibu huyu mtoa mada naona akili yake haifanyi kazi alafu anapenda ligi za kipuuzi hiv uoni aibu wadau wote wamekupinga hakuna anayesapoti upuuzi uliandika.
Alokwambia nimeandika ili nipate sapoti nani?..asa unawaambia watu waainijibu afu we mwenyewe UNANIJIBU hahahahaaa pumbav
 
Alianza kuimba kabla ya huo uchafu unaoutaja je alikuwa na bifu na babako?..hahahahaaaaa na mashabiki tunashabikia kilicho kizur
Kwani Z Anton alianza kuimba lini? Matonya jee? PNC? Wapo wapi sasa hivi?

Sasa hivi hauwezi kumzungumzia kiba bila kuihysisha WCB kwa sababu ndio wanao mbust. Ndio maana hata Uzi wako umeshindwa kumwongelea yeye kama yeye bila WCB
 
unakwama wapi mkuu.

kulinganisha harufu ya ushuzi na marashi?
 
ME NADHANI WEWE UNGEPASWA KUNYAMAZA AU KUTOANDIKA ULICHOANDIKA...UNAIKUMBUKA POST YAKO???View attachment 1141733
Shukrani kwa kukubali post yangu mkuu ila isome kwa kuelewa.

Mimi nimekuzwa na bongo flava kwa kiasi kikubwa hivyo Ni muziki ninaoulewa. Comment yangu ilizungumzia upande wa WCB na sio kiba. Huwa nazungumza bila mahaba na huu ndio ukweli mpya nakupa.

KIBA HAJAWAHI KUWA KING WA BONGO FLAVA . Kiba alikuwa Ni muendelezo wa bongo flava ya mapenzi aliyoileta zaid MB DOG, Kipindi Kiba anavuma kulikuwa na marlaw pia ambaye alimuhenyesha vibaya Sana yaani sio kwenye countdown za media station, tuzo Wala power of vocals. Kiba ana sauti nzuri lakini sio powerful Kama ya marlaw ila showbiz ya clouds na rock star ndio zikamuangukia kiba.

Kiba hana legacy Wala hajawahi kuvunja records. Muangalie kiba wa kabla na baada ya Rockstar utaelewa. Kama una uwezo wa kuelewa lakini
 
Mbona hii Avatar yako haiendani na aya uliyoyaandika mkuu yaani uyo mwenye iyo picha aisee nadhani uko aliko anaumia mno moyoni mwake!!
Anaitwa IK wa nigeria. Mc maarufu Africa na pia mkuu jaribu kusoma maana ya hiyo comment na sio uwasilishwaji wake. Nimeiweka tu katika Hali isiyo ya facts Wala seriousness kutokana na mada ilivyokuja. Shukrani pia kwa alert mkuu ubarikiwe
 
Ok one simple question maana atleast unakuja na hoja siyo hao watoto wanaokurupuka..kwanza umeelewa mantiki ya hii post yangu?...thats one, ya pili kama kiba hana legacy wala hana chochote kwenye hii industry why hao ROCKSTAR na SONY MUSIC wamemsign?..achana na clouds coz we know ambacho clouds amekuwa akikifanya kwenye bongofleva industry tangu mwanzo
 
Bt KIBA kuitwa KING either wa BONGOFLAVOUR au wa nn n jina tu hebu nambie lini DIAMOND aliwahi kuwa SIMBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…