Kupambana na Kiba "The King" ni ngumu na gharama sana

Ukweli mimi binafsi sikuwahi kumpenda wala kumshabikia Diamond ila niliposhuhudia akipiga show live niligundua huyu ni zaidi ya msanii, hivyo ukimlinganisha na Kiba hawaendani kabisa
 
Usichofahamu ni kwamba hata alipofika King wako ALIKIBA ni matokeo ya watu kumshindanisha na Diamond kipindi yupo chini kimziki..
Sio kila comment iliyo-against na wewe ni ya shabiki wa Diamond kiufupi watu wanapenda jitihada na mpango kazi wa Diamond.
Mfano mimi napenda HIPHOP ila Diamond nakubali sana strategies zake kuteka soko na kupenya kimataifa na ukizingitia ana shule ya kawaida sana he deserves respect
 
Yaani huyu mtoa mada sijawakuona hata siku moja kaongea point inaonekana tatizo si lake Ni la ubongo wake ila dada yangu Leo mtoa mada katoa kichekesho Cha mwaka kwa keep.
Umejitutumuuuuua mwenyewe ndo umeona mbonge wa mpoint umeandika...asa kama UBONGO wangu no una tatizo afu unasema TATIZO siyo langu ni la UBONGO WANGU kha!!..shikamoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada yapo ukichoandika sasa had ukielewe mwaka.
 
Anhaaa unazungumzia sokooooo?..nazungumzia uimbaji..after then ni wasanii wangap wameshindanishwa na bw mdomo?..why kwa ali suala limekuwa zito?..kupambana na natural talent ni kaz mzee hizo mboyoyo nyingine weka mbal halafu Ali alikuwepo kwenye game kabla ya huyo mnaetaka kumpa u Mungu mtu wa industry vp alikuwa anapambanishwa na MKWEO?
 
Ukweli mimi binafsi sikuwahi kumpenda wala kumshabikia Diamond ila niliposhuhudia akipiga show live niligundua huyu ni zaidi ya msanii, hivyo ukimlinganisha na Kiba hawaendani kabisa
Umetoa boko...diamond na live band ni TATIZO LILILOKOSA TIBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…