Kupambana na Mvujishaji wa siri za ufisadi badala ya kupambana na huo ufisadi.

erasto Samwel

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
211
Reaction score
275
Nimebaki najiuliza Madudu ya ufisadi yanapowekwa wazi na wazalendo wanachukiwa ati ni watumishi ambao hawana maadili. Hata kupelekea kuachishwa kazi kwamba wamevujisha siri.na mafisadi hayo yanatetewa kwa nguvu zote na kupandishwa vyeo.
Kwa hiyo ukiwa mzalendo ni uadui wako Mwenyewe
 
Wao ndio mafisadi promax so unategemea nini..? Mama mwizi mkuu
 
Back
Top Bottom