erasto Samwel
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 211
- 275
Wao ndio mafisadi promax so unategemea nini..? Mama mwizi mkuuNimebaki najiuliza Madudu ya ufisadi yanapowekwa wazi na wazalendo wanachukiwa ati ni watumishi ambao hawana maadili. Hata kupelekea kuachishwa kazi kwamba wamevujisha siri.na mafisadi hayo yanatetewa kwa nguvu zote na kupandishwa vyeo.
Kwa hiyo ukiwa mzalendo ni uadui wako Mwenyewe