The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Haya yakitekelezwa ndio ya msingi japo hii ahadi inaweza ikawa mzigo Kwa wengineNimeshangaa kutosikia haya.
1. Kupambana na ubadhilifu kuwezesha TAKUKURU mbinu za kisasa kuzuia Rushwa.
2. Kuongeza uwajibikaji na kukomesha wafanyakazi wazembe
3. Serikali kuhakikisha utawala wa sheria unaimarika. Kuhakikisha ulinzi na usalama kwa raia wote.
4. Sijasikia akitaja mradi wowote wa maana anaenda kutekeleza.
By the way this term.wanaenda kuchota hata kile kidogo kilichobaki. TAKUKURU imezikwa rasmi
Labda CAG atafanyaBy the way this term.wanaenda kuchota hata kile kidogo kilichobaki. TAKUKURU imezikwa rasmi
Kutoludai maiti nayo ni mafanikio? PatheticKuna point mbona huisemi?
Kwamba maiti inayodaiwa hospitali haitazuiwa?.........tena
Kwamba kutakua na bima ya afya bure, haluuh.
Sijamuona Lucas Mwashambwa akiamza kububujikwa na machozi ya raha.
As if serikali tofauti na hii ndio ilikua inazuia maiti.Kutoludai maiti nayo ni mafanikio? Pathetic
Nimeshangaa kutosikia haya.
1. Kupambana na ubadhilifu kuwezesha TAKUKURU mbinu za kisasa kuzuia Rushwa.
2. Kuongeza uwajibikaji na kukomesha wafanyakazi wazembe
3. Serikali kuhakikisha utawala wa sheria unaimarika. Kuhakikisha ulinzi na usalama kwa raia wote.
4. Sijasikia akitaja mradi wowote wa maana anaenda kutekeleza.
By the way this term.wanaenda kuchota hata kile kidogo kilichobaki. TAKUKURU imezikwa rasmi
Rejea katazo la"usifanye mambo ya kudharirisha Chama hadharani" kwa hiyo kwenye kificho yawezekana ni juu yako!Nimeshangaa kutosikia haya
Majambazi haya