Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
VUTA-NKUVUTE kwa nini policcm wanatumia mbinu za kihalifu kuzuia uhalifu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisema wanakutukana, Kuna wapuuzi wanashabikia Polis wanavyoua raia eti Panyaroad, Polisi wa Tanza-nia ni genge la Wahalifu. Take it or not,
Majambazi ni hao waliowachukua na kuwatesa kisha kuwaua. Majamba£ yaliyovaa uniform.1. Police wanahakiksha vipi huyu ni panya road kweli kweli?
2. Zipo kesi nyingi na zingine hata ziko mahakamani leo, watuhumiwa wa ujambazi ni polisi.
3. Upo ushahidi wa kutosha kuwa watu wasiojulikana ni polisi.
4. Nk nk.
Tarime walifika na kuchukua watu kwenda kuwauwa ambao jamii inakataa kuwa si majambazi.
View attachment 2369660
Dhana ya polisi jamii Iko wapi?
HakikaMajambazi ni hao waliowachukua na kuwatesa kisha kuwaua. Majamba£ yaliyovaa uniform.
Majambazi ni hao waliowachukua na kuwatesa kisha kuwaua. Majamba£ yaliyovaa uniform.
Mimi ninachojua ukiweka sumu ya panya, mende naye atakufa kwahiyo panya waendelee kusakwa TU! ndio maoni yangu TU!
Na mtajitokeza wengi tu vipi wewe ndo ulikua unanunua vitu vya wizi au sasa hutavipata tena labda ukaibe mwenyewe na vijana wako vichwa wamepasuliwa sana na watapasuliwa sana we kafungue banda la alkasus mimi katika watu ambao sitaki kuwachekea ni watu wanamna yako WANAFKI nyie ndio mlibeza hapa polisi watu wanafanya manuva maslahi yenu yameguswa mnaanza kuhanya hanya na bado
Nasema hivi yeyote yule wa kukaidi AMRI HALALI ya vyombo vya dola (majeshi ya ulinzi na usalama) apigwe tu hata akiuwawa mara trillions.Hakuna anayepinga kusakwa panya road.
Ila huyu unayemwita mende tuendelee kushangilia tu, hadi mende huyo atakapogeuka kuwa wewe au jamaa yako wa karibu?
Huu sasa si ndiyo ule ubinafsi wetu uliopitiliza kwa jina lake?
Nasema hivi yeyote yule wa kukaidi AMRI HALALI ya vyombo vya dola (majeshi ya ulinzi na usalama) apigwe tu hata akiuwawa mara trillions.
Walipouwawa wale wawili kati ya wale 25 majeruhi kule Chanika mlikuwa wapi?
Je Kinondoni, Kunduchi, Mbagala na Temeke mlikuwa wapi wanaharakati uchwara wa JF?
Kama hizi si stahiki za undumila kuwili ni nini haswa?
Mzalendo wa ukweli asiye na hatia yoyote akiuwawa ni sawa lakini panya buku akiuwawa mnalialia kama wajane vile [emoji19]
Nasema hivi yeyote yule wa kukaidi AMRI HALALI ya vyombo vya dola (majeshi ya ulinzi na usalama) apigwe tu hata akiuwawa mara trillions.Watuhumiwa walioko mikononi mwa polisi katika pingu, wanakaidi vipi amri ya polisi, masaa 18 baada ya kukamatwa kupelekea kuwaua wote?
Wauwaji wakubwa nyie:
Wako wapo kina Ben, Lijenje, Azory nk? Nani mliwaweka kwenye viroba? Mkapanga kumwua Lissu? Mkawapora na kuwaua wafanya biashara wa Ifakara? Mfanya biashara wa mtwara mkampora madini na kumwua? Hamza mkampora? Wangapi wanafia mikononi mwenu ati kuwa wamejinyonga?
Niendelee kuorodhesha? Mnasifa gani kwa nani wauaji wakubwa nyie?
Ninyi na jambazi tofauti yenu nini? Ninyi na panya road tofauti yenu nini?
Ama kwa hakika ni heri ya "mtuhumiwa panya road" au "mtuhumiwa jambazi" kwa maana nyie ni tayari ni certified criminals!
Mark my words: Siku moja isiyokuwa mbali sana mtakuwapo kulipa.
Endeleeni kuzikiuka haki za watu ikiwamo kuwauwa. Tunasema hivi hamtatumaliza:Nasema hivi yeyote yule wa kukaidi AMRI HALALI ya vyombo vya dola (majeshi ya ulinzi na usalama) apigwe tu hata akiuwawa mara trillions.