magistergtz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 282
- 56
darasa la 7 wanaleta tabu sana humu wakishajua tu kusurf net muda wote nikuleta mada za hovyo hovyo
darasa la 7 wanaleta tabu sana humu wakishajua tu kusurf net muda wote nikuleta mada za hovyo hovyo
Mkuu pamoja na madigree yako kama yale ya akina Dr.Dr.Dr.Dr Magamba kama huwezi kuijadili mada na badala yake unajadili personalities basi wewe in Ovyo Ovyo Ovyo Ovyooooooooo kulikoi darasa la 7darasa la 7 wanaleta tabu sana humu wakishajua tu kusurf net muda wote nikuleta mada za hovyo hovyo
Kwani amewalazimisha kununua?
Mihogo.......maji ya kisima....machungwa fresh.....life goez on.......hakuna kemikAli........hahahahasasa nani anakula hivyo 'vyakula' laini ulivyosema Azam anavizalisha?
Mimi sili vyakula laini, walaji wa vyakula 'laini' ndo wataadhirika.......na unawajua ni akina nani??!!!! Hahahahahaaa!!!
darasa la 7 wanaleta tabu sana humu wakishajua tu kusurf net muda wote nikuleta mada za hovyo hovyo
sasa nani anakula hivyo 'vyakula' laini ulivyosema Azam anavizalisha?
Mimi sili vyakula laini, walaji wa vyakula 'laini' ndo wataadhirika.......na unawajua ni akina nani??!!!! Hahahahahaaa!!!