Kupanda Bei kwa Bidhaa za Azam Kusababisha Maandamano kama ya Misri?

Kupanda Bei kwa Bidhaa za Azam Kusababisha Maandamano kama ya Misri?

darasa la 7 wanaleta tabu sana humu wakishajua tu kusurf net muda wote nikuleta mada za hovyo hovyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtu akila nyama anaanzisha mada,akienda chooni anaweka mada,akidondosha jero anaweka mada,mke wake kamnyima papuchi nayo ni mada.
 
kwa akili yako unadhani kila mtu analamba ice cream za azam?
Hata Mimi nimeshangaa,Kama sembe mtaani Kuna wafanyabiashara kibao wanasaga.
Soda na maji Kuna makampuni kibao yanatengeneza so ushindani ni mkubwa sana akipandisha bei anajiharibia soko mwenyewe.
Miaka ya 90 ndio kulikuwa na urasimu wa kijinga kwa sababu wazalishaji walikuwa wachache but not in 2019.
 
nguvu ya soko,inaamua bei,hata energy iuzwe elfu tano,soko ndo linaamua maana energy sio hitaji la msingi kwamba lazima unywe,maji unaweza kunywa kandoro au utembee na gudulia toka nyumbani,maisha ni simple ila mtizamo wako tu
 
Back
Top Bottom