nadhani huu ni mwanzo mzuri wa pombe zetu za kienyeji kupata promotion kama mbege,togwa n.k
test ya gongo haina tofauti na konyagi, lushoto kuna pombe ya miwa inaitwa boha, ni nzuri kupita bia za ilala, bado kuna mnazi, mbege, ulanzi na nyinginezo nyingi ambazo hazina makato ya T.R.A yatakayoporwa na mafisadi kwa mgongo wa kuilipa dowans.
kenya wametumia katiba mpya na kuhalalisha gongo a.k.a chan'gaa.... kazi kwao
test ya gongo haina tofauti na konyagi, lushoto kuna pombe ya miwa inaitwa boha, ni nzuri kupita bia za ilala, bado kuna mnazi, mbege, ulanzi na nyinginezo nyingi ambazo hazina makato ya T.R.A yatakayoporwa na mafisadi kwa mgongo wa kuilipa dowans.
Hatuachi ng'oo!
But wautumie mchango wetu wisely.
kuna komoni na chimbumu bila kusahau mtukuru pombe safi kabisa
Mimi hilo bandiko nimeliona kwenye gazeti la Mwananchi, ukigawanya bei ya jumla kwa crate/carton nadhani bei za rejareja ni kama hizi za sasa, sijui zilishapanda au tulikuwa tunaibiwa tangu siku nyingi!!
Hatuachi ng'oo!
But wautumie mchango wetu wisely.
mkuu.. kwani wewe unagonga kapi..?
Heri wangapandisha chakula bei kuliko pombe! Lol
test ya gongo haina tofauti na konyagi, lushoto kuna pombe ya miwa inaitwa boha, ni nzuri kupita bia za ilala, bado kuna mnazi, mbege, ulanzi na nyinginezo nyingi ambazo hazina makato ya T.R.A yatakayoporwa na mafisadi kwa mgongo wa kuilipa dowans.
Rev.... kwani wewe unagonga kapi kale..?