ni inflation mkuu inakula vipato vyetuHivi huku kupanda kwa bia na kwenyewe ndo kubana matumizi tunayoambiwa au hali ya mapato ya nchi si nzuri? Bia sasa ni 1800?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni inflation mkuu inakula vipato vyetuHivi huku kupanda kwa bia na kwenyewe ndo kubana matumizi tunayoambiwa au hali ya mapato ya nchi si nzuri? Bia sasa ni 1800?
kunywa bia kwa starehe zako ukiona hasara acha kunywa........... au ndio kale kamsemo ketu...... " drink more bia save water"
Hi hali ya kupaa kwa bei ya bia kutoka 1500 mpaka 1800 ni nchi zima ama ni kwetu Shinyanga tu?
Hi hali ya kupaa kwa bei ya bia kutoka 1500 mpaka 1800 ni nchi zima ama ni kwetu Shinyanga tu?
Karibu Dunia yetu ya Chang'aa....:clap2:Hivi huku kupanda kwa bia na kwenyewe ndo kubana matumizi tunayoambiwa au hali ya mapato ya nchi si nzuri? Bia sasa ni 1800?
mpaka na :majani7: itapanda bei
Kwani hao bwana zako wanao ua hawatakufa!?...kila mmoja ataonja mauti...Shenzi zakoNi huko huko shy mlikoinyima ccm kura zenu. Sasa mtakiona cha mtema kuni. Hiyo bei itadumu kwa miezi mitano tu. Baada ya hapo, itasogea hadi Sh 2,000. Mkiandamana mjiandae kuzika mtu kama tano hivi. Hakuna msalia mtume hapa. Pwambafu zenu!
Kwani hao bwana zako wanao ua hawatakufa!?...kila mmoja ataonja mauti...Shenzi zako
mkuu matusi ya nini tena................punguza jazba ni wehu wachache hao wenye akili ka mkuu wao wa nchiKwani hao bwana zako wanao ua hawatakufa!?...kila mmoja ataonja mauti...Shenzi zako